RAGE : SIMBA ITAMFUNGA YANGA KILA MECHI KAMA WACHEZAJI WA SIMBA WATAFANYA...

RAGE : SIMBA ITAMFUNGA YANGA KILA MECHI KAMA WACHEZAJI WA SIMBA WATAFANYA JAMBO HILI..

0
SHARE


Mwenyekiti wa zamani wa Timu ya Simba Aden Rage amesema yeye alijua tu lazima wataifunga Yanga, Huku akisisitiza kuwa Simba Itaendelea Kumfunga Yanga kama wachezaji wa Simba wataacha Ubinafsi.

Rage amesema Inatakiwa wachezaji waache Ubinafsi na Kocha awafundishe aina ya soka ambalo litawafanya wasiwe Wabinafsi wawapo uwanjani. na kama wataacha kuwa wabinafsi basi Yanga Atakaa kila mechi atakayocheza na Simba

Like Page Yetu ya Facebook uwe wa kwanza kuwa unapata habari zetu  > Bonyeza Hapa < 

SASA UNAWEZA KUTANGAZA NA KWATA UNIT BLOG, ILI BIASHARA YAKO IWAFIKIE WATU ZAIDI YA 30,000 WANAOITEMBELEA  KWA SIKU , TUNABEI NAFUU  NA TUNATOA OFA YA KUKUPOSTIA INSTAGRAM BURE WASALIANA NASI 0672314066 AU 0689106848

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY