SIMBA UWANJA WA AMANI KAITESA SANA YANGA,ONA HISTORIA YA MECHI ZOTE...

SIMBA UWANJA WA AMANI KAITESA SANA YANGA,ONA HISTORIA YA MECHI ZOTE WALIZOCHEZA NA YANGA HAPA..

0
SHARE

Historia Ya YANGA na Simba mara zote walipokutana Amani Stadium.
-Mechi ya Kwanza 1975
Mwaka 1975, Yanga iliichapa Simba 2-0 kwenye Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati kwa Bao za Gibson Sembuli na Sunday Manara.
-Mechi ya Pili 1992
Simba ilishinda Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati kwa Mikwaju ya Penati 6-5, baada ya Sare ya 1-1 katika Dakika 120 ambayo Simba ilitangulia kufunga kwa Bao la Hussein Masha na Yanga kurudisha kupitia Saidi Mwamba ‘Kizota’,
-Mechi ya Tatu 1992
Bao pekee la Daniel Kimti liliipa Simba ushindi wa 1-0 katika Nusu Fainali ya Kombe la Muungano.
-Mechi ya Nne 2011
Simba ilishinda 2-0 kwenye Fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa Bao za Shija Mkina na Mussa Hassan ‘Mgosi;

Mechi ya Tano imezikutanisha Jana 10.1.2017
Simba wamefanikiwa Kuendeleza Ubabe kwa Yanga kwani wameshinda kwa penati 4 dhidi ya 2 za Yanga baada ya dakika 90 kuisha kwa sare tasa.

Like Page Yetu ya Facebook uwe wa kwanza kuwa unapata habari zetu  > Bonyeza Hapa < 


SASA UNAWEZA KUTANGAZA NA KWATA UNIT BLOG, ILI BIASHARA YAKO IWAFIKIE WATU ZAIDI YA 30,000 WANAOITEMBELEA  KWA SIKU , TUNABEI NAFUU  NA TUNATOA OFA YA KUKUPOSTIA INSTAGRAM BURE WASALIANA NASI 0672314066 AU 0689106848

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY