Anakoelekea NGASSA baada ya Kuachana na Mbeya City

Anakoelekea NGASSA baada ya Kuachana na Mbeya City

0
SHARE

Mchezaji wa Zamani wa vilabu vikubwa nchini Yanga, Simba na Azam na baadaye Mbeya City kuna taarifa kuwa ameachana na klabu yake ya sasa Mbeya City na Mbeya city wenyewe wamethibitisha Kuachana naye.

Lakini kuna taarifa kuwa Kiungo huyo wa pembeni wa zamani wa Taifa Stars atajiunga na timu ya Ndanda Kutoka mkoani Mtwara au African Lyon inayoshiriki ligi daraja la kwanza

Ngassa msomaji wa Kwataunit.comĀ  anaachana na Mbeya City baada ya Mkataba wake wa Mwaka mmoja kuisha alipojiunga nao akitokea Fanja ya Oman alipokaa kwa mwezi Mmoja tu baada ya kutoka Afrika Kusini.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY