MATOKEO KENYA VS ZANZIBAR FAINALI DECEMBER 17,2017

MATOKEO KENYA VS ZANZIBAR FAINALI DECEMBER 17,2017

0
SHARE
Kenya vs Zanzibar
Matokeo Kenya vs Zanzibar Fainali December 17,2017

MATOKEO KENYA VS ZANZIBAR FAINALI DECEMBER 17,2017

Haya ni Matokeo kati ya Kenya na ZANZIBAR mechi ya mchezo wa Fainali wa CECAFA December 17, 2017.

Matokeo ya Moja kwa Moja kutoka uwanja wa Kenyatta mjini Machakos.

Mpira umeanza

Kenya 0 – 0 Zanzibar

Dakika ya 5 Ochieng Ovella anafunga goli kwa Free Kick kali sana

Kenya 1 – 0 Zanzibar

Dakika ya 13

Kenya 1 – 0 Zanzibar

20′ Abdulaziz Makame anashindwa kuendelea na Mchezo mara baada ya kuumia, Feisal (Fei Toto) anaingia kuchukua nafasi yake

HALF TIME

Kenya 1 – 0 Zanzibar

KIPINDI CHA PILI

Azam wanaanza kwa Kushambulia langoni mwa Kenya

50′ Kenya 1 – 0 Zanzibar

65’Bado Kenya wanaendelea Kuongoza kwa bao la Ochieng Ovella

70′ Kenya 1 – 0 Zanzibar

75′ Zanzibar Almanusra wasawazishe bao lakini wachezaji wamekosa umakini na maamuzi

Dakika 5 zimesalia kumalizika kwa Pambano

Kenya 1 – 0 Zanzibar

87′ Khamis Mussa Makame aliyeingia kuchukua nafasi ya Karihe¬† anaisawazishia Zanzibar Goli baada ya kufanyia vyema pasi ya Haji Mwinyi Ngwali

Kenya 1 – 1 Zanzibar

Dakika 3 za Nyongeza

Kenya 1 – 1 Zanzibar

Dakika 90 zimekamilika kwa Matokeo ya sare ya bao 1 kwa 1

Zinaongezwa dakika 30. Endelea kukaa na kwataunit.com

DAKIKA 30 ZA NYONGEZA

Kenya wanaanza kwa kulisakama lango la Zanzibar

Dakika ya 92

Kenya 1 – 1 Zanzibar

97′ Kenya wanapata Goli kupitia kwa Masoud Juma baada ya Kipa kukosea na kupiga Mpira fyongo

99′ Soka mchezo wa ajabu sana Yule Yule Khamis Mussa Makame anaisawazishia Zanzibar bao la Pili

Kenya 2 – 2 Zanzibar

SASA NI DAKIKA 15 ZA MWISHO

Dakika ya 113

Kenya 2 – 2 Zanzibar

Dakika ya 116

Kenya 2 – 2 Zanzibar

Dakika 120 zimeisha

Kenya 2 – 2 Zanzibar

MUDA WA PENALTY ENDELEA KUKAA NA KWATAUNIT.COM

Zanzibar wanaanza kwa kukosa penalty, Adeyum anakosa Penalty

Kenya wanapata penalty yao kupitia kwa Atudo

Zanzibar wanakosa penalty ya pili zote kipa wa Kenya anazicheza

Kenya nao wanakosa penalty ya 2

Feisal anafunga penalty ya 3 ya Zanzibar

Arasa anafunga penalty upande wa Kenya

MATOKEO YA MWISHO YAPENALTY

Kenya 3 – 2 Zanzibar

> MATOKEO MSHINDI WA 3 CECAFA  2017<<

> KIKOSI CHA ZANZIBAR DHIDI YA KENYA LEO <<

 

 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY