Mavugo anaondoka au anabaki Simba? Atoa Majibu haya

Mavugo anaondoka au anabaki Simba? Atoa Majibu haya

0
SHARE
Simba sc
LAUDIT MAVUGO SIMBA DIRISHA DOGO

Mavugo anaondoka au anabaki Simba? Atoa Majibu haya

Mshambuliaji wa Timu ya Simba na timu ya Taifa ya Burundi  ” Intamba Mulugamba” neno hilo likiwa na maana ndege ya Kivita Laudit Mavugo amefunguka kuhusu kama ataondoka au anabaki Simba dirisha dogo.

Akiongea baada ya mechi  ya nusu Fainali CECAFA kati ya Kenya na Burundi iliyoisha kwa KENYA kushinda BAO 1 KWA 0 Mavugo amesema mpaka sasa viongozi wa Simba hawajamwambia chochote.

Mavugo ambaye kwao Burundi wanamwita King Laudit Mavugo  msomaji wa Kwataunit.com amesema akimaliza michuano ya CECAFA basi atarejea kazini Tanzania katika Klabu ya Simba kama kawaida kwani Viongozi hawajaongea naye kuhusu kama anabaki au anaondoka.

> ASANTE KWASI ATAJWA SINGIDA UNITED <<

> MAGAZETI YA MICHEZO LEO DECEMBER 15, 2017 <<

> ZANZIBAR HEROES KUWAKOSA NYOTA MUHIMU DHDI YA UGANDA <<

 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY