Manchester United Yapata Ushindi dhidi ya Everton,Matokeo yote Haya..

Manchester United Yapata Ushindi dhidi ya Everton,Matokeo yote Haya..

0
SHARE
matokeo
matokeo epl 31 Januari 2018

Manchester United Yapata Ushindi dhidi ya Everton,Matokeo yote Haya..

Timu ya Manchester United hatimaye imepata Ushindi Ligi Kuu ya Uingereza mara baada ya Kuifunga Everton kwa mabao mawili kwa sifuri katika Mchezo uliochezwa nyumbani kwa Everton.

Magoli ya Manchester United yalifungwa na Antony Martial na Jesse Lingard akitupia kambani bao la Pili.

Matokeo yote Ligi kuu ya ENGLAND EPL 1.1.2018 Haya Hapa.

England – Premier League January 1
FTBrighton & Hove Albion 2 – 2 AFC Bournemouth
FTBurnley 1 – 2 Liverpool
FTLeicester City 3 – 0 Huddersfield Town
FTStoke City 0 – 1 Newcastle United
FTEverton 0 – 2 Manchester United

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY