Manchester United yaungana katika mchuano wa kumsajili Alexis Sanchez

Manchester United yaungana katika mchuano wa kumsajili Alexis Sanchez

0
SHARE
Sanchez atajwa Manchester United dirisha dogo

Manchester United yaungana katika mchuano wa kumsajili Alexis Sanchez

Klabu ya Manchester United imetajwa kuunga tela la kufanya mazungumzo ya Kumsajili mchezaji wa Arsenal Alexis Sanchez ambaye pia amekuwa akitajwa sana kutakiwa ndani ya Manchester City ambao ni mahasimu wakubwa wa Manchester City ligi Kuu ya EPL.

Mwandishi muitaliano kutoka Sky Sports Gianluca Di Marzio msomaji wa Kwataunit.com  amesema kuwa Manchester United wamefanya maamuzi ya kuanza mazungumzo na Sanchez Leo.

 

Na Kupitia ukurasa wake wa Twitter Gianluca ameaandika

Hata hivyo moja kati ya nyota wa Manchester City Kevin De Bruyne jana akiongea na kituo kimoja cha habari alisema Suala la Sanchez kutua Manchester City ni suala la muda tu anaamini atatua City siku moja.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY