Alichoandika Haji Manara baada ya John Bocco kuwa mchezaji bora wa Mwezi...

Alichoandika Haji Manara baada ya John Bocco kuwa mchezaji bora wa Mwezi VPL

0
SHARE

Alichoandika Haji Manara baada ya John Bocco kuwa mchezaji bora wa Mwezi VPL

Mara baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF kumtangza John Bocco kuwa mchezaji bora wa Mwezi wa Kwanza (January) Msemaji wa Klabu ya Simba Haji Manara  kama kawaida hajaishia Kukaa kimya bali ameandika Kitu.

Manara akitumia Ukurasa wake maalumu wa Instagram ameandika kwa lugha ya Utani kidogo kuwa watu acha wamuite Mhenga, mkongwe au hata BABU lakini ndiye mchezaji bora wa mwezi Jnauary.

” Yes John Raphael Boko @john_22_bocco…mwite utakavyo..mhenga;mkongwe au babu…bt yy ndio mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom kwa mwezi January…le capetonho Bokoooo…hongera sana kaka….tukutane Taifa jioni 🇦🇹🇦🇹💪 “

Katika mwezi January msomaji wa Kwataunit.com John Bocco alifanikiwa Kufunga mabao 3 katika michezo mitatu na Kuisaidia Simba kupata ushindi Mawili akifunga dhidi ya Maji Maji Maji na Moja akifunga dhidi ya Kagera Sugar.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY