Alichokisema Haji Manara baada ya Ushindi wa Yanga dhidi ya St.Louis

Alichokisema Haji Manara baada ya Ushindi wa Yanga dhidi ya St.Louis

0
SHARE

Alichokisema Haji Manara baada ya Ushindi wa Yanga dhidi ya St.Louis

Afisa Habari wa Klabu ya Simba  msomaji wa Kwataunit.com Haji Sunday  Manara akizungumza Na Radio One leo baada ya Yanga Kupata Ushindi dhidi ya St Louis amesema kuwa yeye hawezi kuzungumzia walichokivuna Yanga.

Ila kama Mtanzania anaamini Yanga wanaweza kupambana hata Ugenini na Kufanikiwa Kuvuka hatua Inayofuata.

” Sisi Hatuwezi Kuingalia Yanga nini walichokivuna lakini kama Mtanzania nadhani bado nafasi wanayo wakapambane huko Ugenini “

Yanga imefanikiwa kupata Ushindi wa Bao 1 kwa 0 bao likifungwa na Juma Mahadhi aliyeingia kuchukua nafasi ya Ibrahim Ajibu.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY