Bao la Ndemla laweka rekodi hii CAF

Bao la Ndemla laweka rekodi hii CAF

0
SHARE

Bao la Ndemla laweka rekodi hii CAF

Bao la Kiungo wa Simba Said Hamis Ndemla alilolifunga Juzi Jumapili Simba ikicheza dhidi ya Gendarmerie ya Nchini Djibouti limeingia katika rekodi za Shirikisho la soka barani Afrika CAF.

Katika mechi takribani 21 zilizochezwa za Kombe la Shirikisho bao La Ndemla ndiyo lilikuwa bao la Mapema zaidi akifunga bao hilo dakika ya kwanza ya Mchezo kwa mpira wa Adhabu ya moja kwa Moja.

Katika Mechi Nyingine  msomaji wa kwataunit.com goli lingine la Mapema lilikuwa katika mechi kati ya AFC Leopards ya Kenya na Fosa Juniours ya Madagascar ambapo mchezaji wa AFC Leopards Dennis Sikhayi alifunga goli dakika ya 3 ya Mchezo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY