Hii ndiyo mechi ambayo ilimuuma zaidi Masau Bwire kiasi cha Kutoa machozi

Hii ndiyo mechi ambayo ilimuuma zaidi Masau Bwire kiasi cha Kutoa machozi

0
SHARE

Hii ndiyo mechi ambayo ilimuuma zaidi Masau Bwire kiasi cha Kutoa machozi

Afisa Habaru wa Timu ya Ruvu Shooting Masau Bwire akizungumza na Kipindi cha Spoti Hausi amefunguka na kutaja mechi ambayo imewahi Kumuuma zaidi kiasi cha Kutoa Machozi.

Masau Bwire msomaji wa Kwataunit ameitaja mechi kati ya Stand United dhidi ya Ruvu Shooting msimu wa Mwaka 2014/2015 mechi ambayo Ruvu alifungwa bao 1 tu na Kushushwa Daraja.

KUSOMA HABARI ZAIDI ZA MICHEZO BONYEZA HAPA <

 

Masau amesema Katika mchezo huo walifunga bao lao likakataliwa hali ambayo ilimuuma sana kwani maamuzi yalikuwa mabovu na timu yao ilishuka Daraja msimu Huo.

” Msimu wa Mwkaa 2014/2015 tukicheza na Stand United Tulifungwa siyo nyingi lilikuwa goli moja tu lakini lenye machungu sana “

” Sikuwahi mimi mtu mzima na utu uzima Huu kutoa Machozi ila Nilitoa machozi kwa Uchungu sababu¬† Naipenda sana Ruvu Shooting, Naipenda kutoka Moyoni “

 

Masau amesema pia amewahi kufatwa na Vilabu vikubwa vyenye maslahi ili tu awe msemaji wa Vilabu hivyo lakini kutokana na Mapenzi yake kwa Ruvu Shooting alichomoa kujiunga nao.

Moja kati ya Vitu vya Kufurahisha  msomaji wa Kwataunit kwa Masau Bwire ni idadi ya Simu anazotumia ambapo Katika kipindi hiko Masau Bwire alionekana kuwa na Simu sita anazozitumia huku akijinasibu kuwa simu nyingine zipo kwenye Gari.

 

 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY