Huyu ndiye Kinara wa Pasi za Mwisho (Assists) VPL mpaka sasa

Huyu ndiye Kinara wa Pasi za Mwisho (Assists) VPL mpaka sasa

0
SHARE

Huyu ndiye Kinara wa Pasi za Mwisho (Assists) VPL mpaka sasa

Ukiongelea wafungaji wanaoongoza mpaka sasa Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara basi majina kama Emmanuel Okwi, Obrey Chirwa na John Bocco ni lazima utayataja. Lakini umewahi kujiuliza juu ya ni nani hasa anaongoza kwa Pasi za Mwisho?

Mpaka sasa msomaji wa Kwataunit.com  Mchezaji wa Simba Shiza Ramadhan Kichuya ndiye anayeongoza kwa Pasi za Mwisho Assists akiwa anajumla ya Assists 7 juu ya wachezaji wote wanaoshiriki Ligi Hiyo msimu Huu.

Licha ya Kutoa pasi za Mwisho kiungo huyo wa Simba Shiza  Kichuya pia anajumla ya Magoli 6 ligi kuu  Vodacom Premier League mpaka sasa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY