Juma Nyosso ashushiwa Rungu na TFF

Juma Nyosso ashushiwa Rungu na TFF

0
SHARE

Juma Nyosso ashushiwa Rungu na TFF

Beki wa Kati wa Timu ya Kagera Sugar Juma Nyosso amefungiwa jumla ya Mechi 5 na Faini ya Shilingi Milioni moja kwa kosa la Kumpiga Shabiki.

Nyosso  msomaji wa Kwataunit.com alifanya balaa hilo mara baada ya Mchezo kati ya Kagera Sugar na Simba mechi iliyoisha kwa Simba kushinda bao 2 kwa 0 katika uwanja wa Kaitaba.

Mchezaji huyo amehukumiwa na Kamati ya Nidhamu kwa kutumia kanuni ya 36 kipengele cha 1, 2 na 5 ambacho kinaelezea juu ya adhabu kwa mchezaji ambaye amefanya kosa kama La Nyosso.

Hakikisha Umelike Page yetu Chini ili uweze kuwa Unajishindia zawadi mbalimbali tunazozitoa mara kwa mara

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY