Kocha wa St.Louis ataja mchezaji wa Yanga aliyekuwa hatari zaidi kwao

Kocha wa St.Louis ataja mchezaji wa Yanga aliyekuwa hatari zaidi kwao

0
SHARE

Kocha wa St.Louis ataja mchezaji wa Yanga aliyekuwa hatari zaidi kwao

Kocha wa timu ya St. Louis Michel Reneeud wapinzani wa Yanga Kimataifa kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika amefunguka juu ya Mchezaji Wa Yanga ambaye aliwasumbua zaidi katika mchezo wao wa Jumamosi.

Kocha Reneeud msomaji wa Kwataunit.com amemtaja Papy Kabamba Tshishimbi kuwa ndiye mchezaji aliyekuwa hatari zaidi kwao katika mchezo wa Jumamosi February 10, 2018.

Amesema Tshishimbi alikuwa hatari sana kwao kutokana na aina ya uchezaji wake katika eneo la Katikati kiasi cha kufanya viungo wake kupata shida namna ya kumzuia.

Kocha huyo amesema pia amesema ameiona Yanga kuwa ni Timu nzuri huku akimsifia pia kipa Ramadhan Kabwili kwa kudaka vizuri licha ya kuwa ni kijana mdogo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY