Matokeo Azam Fc vs Ndanda VPL 3 February 2018

Matokeo Azam Fc vs Ndanda VPL 3 February 2018

0
SHARE

Matokeo Azam Fc vs Ndanda VPL 3 February 2018

Ni Kipindi cha Pili katika Uwanja wa Azam (Azam Complex Chamazi)

Azam wanaongoza kwa mabao 3 kwa 1

Goli la Kwanza La Azam limefungwa na Yahya Zayd dakika ya 25

Goli la Ndanda limefungwa na Nassor kapama dakika ya 32

Goli la Pili la Azam Limefungwa na Enock Attah dakika ya 29.

Goli la Tatu la Azam Fc wanalambalamba limefungwa na Shaban Iddi Chilunda dakika ya 48

MABADILIKO YALIYOFANYIKA

Azam wamemtoa Kangwa aliyeumia na Kuingia David Mwantika

Ametoka Shaban Iddi ameingia Paul Peter.

Zayd ametoka Dakika ya 74 ameingia Ramadhan Singano

DAKIKA YA 75

Azam 3 – 1 Ndanda

DAKIKA YA 80

Azam 3 – 1 Ndanda

FULL TIME

Azam 3 – 1 Ndanda

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY