Matokeo Simba vs Azam VPL leo 7 February 2018

Matokeo Simba vs Azam VPL leo 7 February 2018

0
SHARE
Matokeo Simba vs Azam VPL leo 7 February 2018

Matokeo Simba vs Azam VPL leo 7 February 2018(7.2.2018)

Matokeo ya Simba vs Azam Fc kutoka katika uwanja wa Taifa JIJINI Dar Es Salaam.

Kikosi cha Azam Fc dhidi ya Simba sc leo 7 February 2018

1. Razak Abalora
2. Daniel Amoah
3. Bruce Kangwa
4. Yakubu Mohammed
5. Agrey Moris
6. Stephan Kingue
7. Iddi Kipagwile
8. Frank Domayo
9. Mbaraka Yusuf
10 Yahya Zayd
11. Enock Atta

Wachezaji wa Akiba
1. Mwadini Ali
2. David Mwantika
3. Abdallah Kheri
4. Salmin Hoza
5. Benard Arthur
6. Salum Abubakar
7. Shabani Iddi

Kikosi cha Simba dhidi ya Azam Fc leo February 7,2018

Hiki Hapa Kikosi cha Simba Sports Club Kinachoanza katika mchezo wa Raundi ya 17 dhidi ya Azam Fc leo katika uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam.

1-Aishi Manula
2-Shomary Kapombe
3-Asante Kwasi
4-Yusuph Mlipili
5-Erasto Nyoni
6-Jona Mkude
7-James Kotei
8-Said Ndemla
9-John Bocco
10-Emmanuel Okwi
11-Shiza Kichuya

SUBs
-Ally Salim
-Mohamed Hussein
-Paul Bukaba
-Mwinyi Kazimoto
-Mzamiru Yassin
-Nicholas Gyan
-Laudit Mavugo

> SOMA ZAIDI HABARI ZETU ZA MICHEZO BONYEZA HAPA <<

Live Updates kutoka Uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam

Mechi itaanza SAA kumi na Nusu.

Timu zote ziko uwanjani

Mpira Umeanza

Simba 0 – 0 Azam

Dakika ya 10 bado milango ni Migumu kwa timu zote

Dakika ya 24 Simba wanafanya shambulio la Habari golini kwa Azam mpira unapaa

Dakika ya 28 Okwi anakosa goli la wazi , Unapita pemnbeni kidogo ya Lango

Dakika ya 36 Emmanuel Okwi anawainua Simba Vitini kwa Assist ya Asante Kwasi

Simba 1 – 0 Azam

Half time

Simba 1 – 0 Azam Fc

Kipindi cha Pili kimeanza

Mbaraka Yusuph anatoka Shaban Iddi Chilunda anaingia Upande wa Azam

Aggrey Morris anapewa kadi ya Njano dakika ya 47

Mkude na Okwi wanapewa kadi za Njano

Dakika ya 52

Simba 1 – 0 Azam

56′ Asante Kwasi anapewa kadi ya Njano

Dakika ya 65 Azam wanaonekana kucheza vizuri kipindi cha Pili wakitafuta nafasi bila mafanikio.

70′ Abalora anaokoa kichwa cha Okwi na Kuwa Kona

Dakika 10 zimebakia mechi kumalizika bado Simba anaongo,a kwa Goli la Emmanuel Okwi

Manula anapewa kadinya ya njano kwa kuchelewesha Muda

aDakika ya 84 Okwi anatoka anaingia Nicolas Gyan

Mpira umemalizika kwa Simba Kushinda bao 1 kwa 0

Full time

Simba 1 – 0 Azam

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY