Matokeo Simba vs Gendermeria leo 11 February 2018

Matokeo Simba vs Gendermeria leo 11 February 2018

0
SHARE

Matokeo Simba vs Gendermeria leo 11 February 2018

Haya ni Matokeo kati ya Simba na Wadjibout Gendarmerie mchezo wa Kombe la shirikisho barani Afrika moja kwa Moja kutoka Uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.

Kikosi cha Simba dhidi ya Gendermerie leo 11 February 2018

Hiki Hapa Kikosi cha Simba kinachoanza na Wachezaji wa Akiba Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika leo 11 February 2018

 1. Aishi Manula
 2. Shomari Kapombe
 3. Asante Kwasi
 4. Yusuph Mlipili
 5. Erasto Nyoni
 6. Jonas Mkude
 7. James Kotei
 8. Said Hamis Ndemla
 9. John Bocco
 10. Emmanuel Okwi
 11. Shiza Kichuya

 

 

Wachezaji wa Akiba

 1. Emmanuel Mseja
 2. Mzamiru Yassin
 3. Mwinyi Kazimoto
 4. Moses Kitandu
 5. Paul Bukaba
 6. Ally Shomari
 7. Juuko Murshid

Live Updates

Mpira Umeanza

Dakika ya Kwanza Said Ndemla anaipa Simba anapata bao kwa faulo ya moja kwa moja

Simba 1 – 0 Gendermerie

Dakika ya 20 bado Simba wanaongoza kwa Goli moja na hata Umiliki wa mpira

dakika ya 32 John Raphael Bocco anaiandikia Simba bao la Pili katika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam

Simba 2 – 0 Gendermerie

Dakika ya 45 John Raphael Bocco anaiandikia Simba bao la Tatu

Simba 3 – 0 Gendermerie

Magoli ya Simba yamefungwa na Said Ndemla , huku John Bocco akiingia kambani Mara mbili na kufanya matokeo kuwa 3 kwa 0.

Kipindi cha Pili kimeanza

Simba 3 – 0 Gendermerie

47 Okwi wanakosa goli la wazi

Bado 3 kwa 0

Dakika ya 50 Aishi Manila anaokoa mkwaju wa Penati na kuwa kona

Dakika ya 70

Simba 0 – 0 Gendermerie

72′ Kichuya anatoka anaingia Mzamiru Yassin

75′ Said Ndemla anatoka anaingia Kazimoto

90+3 baada ya kukosa Magoli kadhaa ya wazi Okwi anaipatia Simba bao la 4

Simba 4 – 0 Gendermerie

Full time

simba 4 – 0 Gendermerie

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY