Matokeo Simba vs Ruvu Shooting leo February 4,2018

Matokeo Simba vs Ruvu Shooting leo February 4,2018

0
SHARE

Matokeo Simba vs Ruvu Shooting leo February 4,2018

Haya ni Matokeo Kati ya Simba na Ruvu Shooting mechi ya Raundi ya 16 Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara.

Kikosi cha Ruvu Shooting dhidi ya Simba February 4, 2018

1:Abdallah Radhid
2:George Amani
3:Mau Bofu
4:Damas Makwaya
5:Rajab Zahir
6:Baraka Mtuwi
7:Abdulrahaman Mussa
8:Adam Ibrahim
9:Issa Kanduru
10:Full Maganga
11:Shabani Msala

Kikosi cha Akiba
1:Didii Hussein
2:Yusuph Mguya
3:Hamis Kasanga
4:Hamis Salehe
5:Khamis Mcha
6:Jamal Soud
7:Ishala Juma

Kikosi cha Simba dhidi ya Ruvu Shooting leo February 4,2018

Hiki ndicho Kikosi cha Wachezaji kumi na Moja wa  Vinara wa Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara kwasasa  Simba wanaoanza katika mchezo dhidi ya Ruvu Shooting Na Wachezaji saba wa Akiba.

Aishi Manula

Shomari Kapombe

Asante Kwasi

Erasto Nyoni

Yusuph Mlipili

Jonas Mkude

Shiza Kichuya

Mzamiru Yassin

John Bocco

Emmanuel Okwi

Said Ndemla

Wachezaji wa Akiba

Salim, Kitandu, Bukaba, Mo Hussein, Gyan , Mavugo na Kazimoto

 

 

 

KUSOMA HABARI ZA YANGA BONYEZA HAPA <

kusoma habari za Simba Bonyeza Hapa <

 

Dakika ya 3 John Bocco anaanza kwa Shuti kali linaloenda Nje ya Uwanja

Dakika ya 9 Katika uwanja wa Uhuru bado Simba 0 – 0 rUVU

Rajab Zahir wa Ruvu Shooting anapewa kadi ya Njano baada ya kucheza madhambi, Simba wanapiga Faulo na Okwi anatia Mpira Nyavuni akiwa tayari ameotea.

Simba 0 – 0 Ruvu Shooting

dakika ya 16 bado 0 – 0

Dakika ya 22 John Raphael Bocco anaitanguliza Simba, Goli la Kichwa linaitanguliza Simba kimatokeo.

Simba 1 – 0 Ruvu Shooting

Dakika ya 33 bado Simba 1 – 0 Ruvu ,

dakika ya 40 sasa bado Simba wako mbele kwa goli la kichwa la John Raphael Bocco Kumbuka kusoma habari zetu na kulike Ukurasa wetu wa Facebook, Shuka Chini

Mchezaji wa Ruvu  anapewa kadi nyekundu kwa kumchezea madhambi Okwi anayeshindwa kuendelea na Mchezo naye Mavugo anaingia

HALF TIME

Simba 1 – 0 Ruvu Shooting

KIPINDI CHA PILI

Simba ametoka Ndemla na nafasi yake imechukuliwa na Mwinyi Kazimoto

Bado

Simba 1 – 0 Ruvu Shooting .

Dakika ya 60

Simba 1 – 0 Ruvu Shooting .

Dakika ya 65 Mzamiru Yassin anafunga goli la Pili kwa Simba

dakika ya 75 John Bocco kwa mara nyingine anaifungia Simba bao la 3 na Bao lake la 2 kwenye Mchezo na Bao la 9 LIGI NZIMA.

Bocco ametoka ameingia Mghana Nicolas Gyan kuchukua Nafasi yake

83 ‘ Mavugo anapiga shuti Kali ambalo linaokolewa na kuwa Mona

Bado Simba 3 – 0 Ruvu Shooting

Ruvu wanapewa kadi nyingine nyekundu baada ya ile ya awali

Full time

Simba 3 – 1 Ruvu Shooting

Kumbuka kusoma habari zetu na kulike Ukurasa wetu wa Facebook, Shuka Chini

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY