Matokeo Uefa Champions League 13 February 2018

Matokeo Uefa Champions League 13 February 2018

0
SHARE
Matokeo UEFA 14 february 2018

Matokeo Uefa Champions League 13 February 2018

Michuano ya Uefa Katika hatua ya 16 Bora jana iliendelea kwa Michezo miwili kuchezwa huku ikishuhudiwa Manchester City ikishinda bao 4 kwa 0 Ugenini waliposafiri kuwafata Basel.

Magoli ya Manchester City msomaji wa Kwataunit.com  yalifungwa na  Ilkay Guendogan, Benardo Silva,  Sergio Aguero akafunga bao la tatu na Ilkay Guendogan akarudi tena Kambani na

Juventus Licha ya Kutangulia kwa mabao mawili ya Gonzalo Higuain waliweza kulazimishwa sare na Spurs wakichomoa magoli kupitia kwa Harry Kane na Christian Eriksen

Champions League – Round of 16 February 13
FT Basel 0 – 4 Manchester City
FT Juventus 2 – 2 Tottenham Hotspur

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY