Matokeo VPL Yanga vs Maji Maji leo 14.2.2018

Matokeo VPL Yanga vs Maji Maji leo 14.2.2018

1
SHARE

Matokeo VPL Yanga vs Maji Maji leo 14.2.2018

Matokeo kati ya Yanga na Maji Maji ya Songea 14/2/2018 katika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam hii Iowa ni moja kwa moja.

Mpira umemalizika kwa Yanga kushindwa bao 4 kwa 1

84 ‘ Cannavaro anaingia nafasi ya Dante

Yanga 4 – 1 Maji Maji

83′ Shuti la nje ya 18 la Tshishimbi linaipa Yanga goli la 4

 

70′ Hassan Kessy anapewa kadi ya Njano

 

56′ Marcel Bonaventure anafunga penatimowa kumuhamisha Kabwili

55’ Maji Maji wanapata Penati.

Kipindi cha Pili kimeanza

Bado Yanga anagoli zake 3 Maji Maji wanaduara lao

HALF TIME

YANGA 3 – 0 MAJI MAJI

44′ Emmanuel Martin anaipatia Yanga bao la 3 kwa shuti Kali baada ya Kususiwa Mpira na Tshishimbi

39′ Pius Buswita wanakosa Goli baada ya kupiga shuti lililogonga mwamba

Dakika ya 38 bado Yanga wanaongoza kwa bao 2 kwa 0

30

Yanga 2 – 0 Maji Maji

28′ Obrey Chirwa anaipatia Yanga goli la Pili baada Ya kazi safi iliyofNywa na Gadiel Michael

dakika ya 26 Maji Maji wanapata mpira wa adhabu

20 Papy Tshishimbi anaitanguliza Yanga kwa penati ,  baada ya mchezaji wa Maji Maji kunawa mpira na mchezaji huyo anapewa kadi nyekundu

Dakika ya 10 bado ni 0 kwa 0

 

Kikosi cha Maji Maji dhidi ya Yanga leo 14.2.2018

  1. Salehe Maland
  2. Aziz Sibo
  3. Mpoki Mwakinyuke
  4. Kennedy Kipepe
  5. Paulo Maona
  6. Hassan Hamis
  7. Péter Mapunda
  8. Yakubu Ki

1 COMMENT

Comments are closed.