Matokeo Yanga vs Njombe Mji VPL leo 6 February 2018

Matokeo Yanga vs Njombe Mji VPL leo 6 February 2018

0
SHARE
Matokeo Yanga vs St. Louis Klabu Bingwa Afrika 10 February 2018

Matokeo Yanga vs Njombe Mji VPL leo 6 February 2018

Matokeo ya Yanga dhidi ya Njombe Mji leo 6 February 2018 moja kwa moja kutoka uwanja wa Uhuru Jijini Dar Es Salaam.

Kikosi cha Njombe Mji dhidi ya Yanga February 6 2018

Hiki ndicho Kikosi cha Njombe Mji kitakachoanza na wachezaji wa Akiba dhidi ya Yanga Leo uwanja wa Uhuru Jijini Dar Es Salaam.

1. Rajabu Mbululu
2. Agathon Mapunda
3. Hereriman Lewis
4. Ahmed Adewale
5. Raban Kambole
6. Aden Chepa
7. Willy Mgaya
8. Juma Mpakala
9. Ethienne Ngiladjoe
10. Ditram Nchimbi
11. Claide Wigenge

Wachezaji wa Akiba
1. David Kissu
2. John Sagala
3. Mack Mwambungulu
4. David Obsah
5. Nickson Kibabage
6. Raphael Siame
7. Jimmy Mwasondola

> SOMA ZAIDI HABARI ZETU ZA MICHEZO HAPA <<

 

KIKOSI CHA YANGA SC LEO DHIDI YA NJOMBE MJI

Baada ya Yanga kuwakosa wachezaji wake 11 katika mchezo wa Leo hiki Ndicho Kikosi cha Yanga Kinachoanza na Wachezaji wake wa Akiba dhidi ya Njombe Mji.

1.Ramadhani Kabwili
2.Hassan Kessy
3.Gadiel Michael
4.Said Juma
5.Kelvin Yondani
6.Maka Edward
7.Raphael Daudi
8.Papy Tshishimbi
9.Obrey Chirwa
10.Pius Buswita
11.Emmanuel Martin

Benchi
-Benno Kakolanya
-Yusuph Mhilu
-Said Musa Bakari
-Baruan Akilimali
-Juma Mahadhi
-Matheo Antony

Mechi Umeanza

Dakika ya 3

Yanga 0 – 0 Njombe Mji

6′ Obrey Chirwa anafunga goli ambalo Mwamuzi wa Pembeni anaonyesha kuwa ni Offside

Dakika ya 8

Yanga 0 – 0 Njombe Mji

Dakika ya 13 bado bila bila

Dakika ya 20 si Yanga wala Njombe Mji ambao ambao wameshapata bao

25 Emma Martin anapiga shuti Kali Kipa anababaika na mabeki wanaosha

Dakika ya 40 Yanga 0 – 0 Njombe Mji

Katika uwanja wa Uhuru Mpira ni Mapumziko

Ball Possession

Yanga 52℅ – 48% Njombe Mji

Yanga 0 – 0 Njombe Mji

Kipindi cha Pili

Dakika ya 46 Mpira wa Buswita unapigwa kwa Chirwa na Chirwa bila ajizi anakwamisha Mpira wavuni

Yanga 1 – 0 Njombe Mji

Dakika ya 50

Yanga 1 – 0 Njombe Mji

Dakika ya 55 kipa wa Njombe Mji Mbululu anapewa kadi nyekundu baada ya Kudaka nje ya eneo lake Baada ya Kurudishiwa Mpira na Yanga wakielekea Langoni mwao.

Dakika ya 56 Raphael Daudi anaingia Juma Mahadhi, Daudi ameonekana kushindwa kucheza vizuri katika mchezo a Leo

Dakika ya 64 Obrey Chirwa anafunga bao la Pili kwa penati , ilikuwa ni kichwa cha Kilichopigwa na Chirwa kikielekea golini mchezaji wa Njombe Mji akashika

Dakika ya 68 Emmanuel Martin anafunga goli la Tatu kwa Yanga

Dakika ya 70

Yanga 3 – 0 Njombe

Dakika ya 80

Yanga 3 – 0 Njombe Mji

Baruani Akilimali dakika ya 84 anaingia kuchukua nafasi ya Emmanuel Martin

Baruani  Yahya anaingia na Pasi ya Goli , Chirwa 3 Yanga 4

Yanga 4 – 0 Njombe Mji

Chirwa anatoka anaingia Said Mussa baada ya Kufunga goli zake 3

Full time

Yanga 4 – 0 Njombe Mji

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY