Post ya Haji Manara baada ya Ushindi wa 4G dhidi ya Wadjibout

Post ya Haji Manara baada ya Ushindi wa 4G dhidi ya Wadjibout

0
SHARE

Post ya Haji Manara baada ya Ushindi wa 4G dhidi ya Wadjibout

Mara baada ya Ushindi wa Simba Sc leo Simba ikiamua Kuutumia Mtandao wenye Kasi zaidi 4 G na Kuwanyuka Wadjibout Gendermerie jumla ya Bao 4 Kwa 0 Afisa Habari wa Simba Haji Manara kama kawaida yake Hajaficha Furaha yake na Ameandika haya.

“Alhamdulillah,,,,,mtandao wa 4G is back…Asanteni wachezaji,benchi la ufundi na washabiki wote wa Simba…poleni visonono wenye vijiba vya roho @simbasctanzania @vodacom@tigo_tanzania @zanteltanzania@airtel_tanzania #SimbaScNguvuMoja#ThisIsSimba 🇦🇹🇦🇹 “

Magoli ya Simba msomaji wa Kwataunit.com yamefungwa Na Said Ndemla kwa Mpira wa Adhabu wa Moja kwa Moja dakika ya Kwanza Kabisa, John Bocco magoli mawili kwa Kichwa na Emmanuel Okwi

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY