Yanga kuwakosa watatu mchezo dhidi ya Maji Maji ,Jembe Larudi kundini

Yanga kuwakosa watatu mchezo dhidi ya Maji Maji ,Jembe Larudi kundini

0
SHARE

Yanga kuwakosa watatu mchezo dhidi ya Maji Maji

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara na Mabingwa mara 27 wa Taji Hilo klabu ya Yanga itawakosa wachezaji wake watatu katika mchezo wa VPL dhidi ya Maji Maji utakaochezwa kesho jijini Dar Es Salaam.

Wachezaji hao ni Washambuliaji wote ambao Ni Amis Tambwe, Donald Ngoma na Yohanna Nkomola.

Nkomola  msomaji wa Kwataunit.com aliumia kwenye mchezo kati ya Yanga na Ruvu Shooting, wakati Tambwe akiwa alijitonesha mazoezini majeraha yake na Donald Ngoma yeye ni Majeruhi wa Muda Mrefu.

Baada ya Muda mrefu kesho kikosi cha Yanga kinaweza kushuhudia Urejeo wa Thaban Kamusoko ambaye washabiki na wapenzi wengi wa Yanga hupenda Huduma yake awapo uwanjani .

Hakikisha Umelike Page yetu Chini ili uweze kuwa Unajishindia zawadi mbalimbali tunazozitoa mara kwa mara

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY