TETESI ZA USAJILI

TETESI ZA USAJILI
MRISHO NGASSA MBEYA CITY

DIRISHA DOGO, WALIOTEMWA NA KUINGIA MBEYA CITY

DIRISHA DOGO, WALIOTEMWA NA KUINGIA MBEYA CITY TAARIFA YA USAJILI WA DIRISHA DOGO Klabu ya Mbeya City katika usajili wa dirisha dogo imeongeza mchezaji mpya mmoja tu katika nafasi ya...

USAJILI : Sasa Ni Simba, Azam na Yanga zote zatajwa kwa Straika huyu

Klabu ya Yanga ya jijini Dar Es Salaam nayo imeingia katika mbio za Kumnasa Straika wa Kizambia anayecheza katika klabu ya Nkana Rangers Walter...

SIMBA: ” Tumemwacha mchezaji mmoja pekee Dirisha dogo”

SIMBA: " Tumemwacha mchezaji mmoja pekee Dirisha dogo" KLABU ya Simba kupitia kwa Boss wa masuala ya Usajili Mwenyekiti wa kamati ya Usajili Zacharia Hanspoppe...
Nchimbi Yanga dirisha Dogo

USAJILI: Anatajwa kutua Yanga ila Dau lake sasa milioni 200

USAJILI: Anatajwa kutua Yanga ila Dau lake sasa milioni 200 Uongozi wa klabu ya Njombe Mji umeitahadhalisha Klabu ya Dar Young Africans kwa kile wanachotaka...

Anakoelekea NGASSA baada ya Kuachana na Mbeya City

Mchezaji wa Zamani wa vilabu vikubwa nchini Yanga, Simba na Azam na baadaye Mbeya City kuna taarifa kuwa ameachana na klabu yake ya sasa...

Ukweli wa tetesi wa Ngoma kutimkia Singida United wenyewe wasema haya

Ukweli wa tetesi wa Ngoma kutimkia Singida United wenyewe wasema haya Baada ya kuwepo taarifa nyingi zikimhusisha Donald Ngoma kufungashiwa virago ndani ya Klabu ya...

Manchester United yaungana katika mchuano wa kumsajili Alexis Sanchez

Manchester United yaungana katika mchuano wa kumsajili Alexis Sanchez Klabu ya Manchester United imetajwa kuunga tela la kufanya mazungumzo ya Kumsajili mchezaji wa Arsenal Alexis...
Asante Kwasi 21 December 2017

Lipuli wazungumza kila kitu Asante Kwasi kwenda Simba

Lipuli wazungumza kila kitu Asante Kwasi kwenda Simba Timu ya Lipuli Fc Wanapaluhengo kutoka Mkoani Iringa baada ya kuzuka taarifa nyingi za beki wao kisiki...

RASMI: Hawa ndiyo walioongezwa Simba Dirisha dogo

  RASMI: Hawa ndiyo walioongezwa Simba Dirisha dogo Simba jana imefanikiwa kusajili wachezaji wawili wa Kigeni ambao ni Asante Kwasi ambaye ni raia wa Ghana na Antonio...

Je Yanga wamemaliza usajili dirisha dogo? majibu haya hapa

  Klabu ya Yanga kupitia kwa afisa habari wake Dismas Ten amesema kuwa bado hawawezi kusema kama wameshamaliza usajili wa dirisha dogo mpaka tarehe ya...
error: Content is protected !!