Simba kikombe Hakiepukiki kwa Mwarabu,Yanga wapata Unafuu baada ya Hili

Simba kikombe Hakiepukiki kwa Mwarabu,Yanga wapata Unafuu baada ya Hili Wakati Simba wakifurahia ushindi wa Timu yao dhidi ya Gendarmerie ya Djibouti wa Bao 4...

Ishu ya Simba kununua Mkataba wa Chirwa Yanga hii hapa

Ishu ya Simba kununua Mkataba wa Chirwa Yanga hii hapa Kizuri kinajiuza na Kibaya Kinajitembeza ndiyo kauli unayoweza ukaitumia kwa Mchezaji Obrey Chirwa, siku za...

Habari katika Magazeti ya Michezo leo 14 February 2018

Habari katika Magazeti ya Michezo leo 14 February 2018           credit : Millard Ayo Hakikisha Umelike Page yetu Chini ili uweze kuwa Unajishindia zawadi mbalimbali tunazozitoa mara...

Matokeo Uefa Champions League 13 February 2018

Matokeo Uefa Champions League 13 February 2018 Michuano ya Uefa Katika hatua ya 16 Bora jana iliendelea kwa Michezo miwili kuchezwa huku ikishuhudiwa Manchester City...

Ujumbe wa Zito Kabwe baada ya Kumtembelea Mbwana Samatta

Ujumbe wa Zito Kabwe baada ya Kumtembelea Mbwana Samatta ZITTO AMEANDIKA; Nimepita Kumsabahi Nahodha Samatta Jana jioni nilikwenda Genk, hapa Ubelgiji, nyumbani kwa Nahodha wa Timu ya...

Juma Nyosso ashushiwa Rungu na TFF

Juma Nyosso ashushiwa Rungu na TFF Beki wa Kati wa Timu ya Kagera Sugar Juma Nyosso amefungiwa jumla ya Mechi 5 na Faini ya Shilingi...

Yanga kuwakosa watatu mchezo dhidi ya Maji Maji ,Jembe Larudi kundini

Yanga kuwakosa watatu mchezo dhidi ya Maji Maji Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara na Mabingwa mara 27 wa Taji Hilo klabu ya Yanga...
masoud djuma Simba

Masoud Djuma : Wachezaji hawa Simba wanahitaji mtaalamu wa Saikolojia

Masoud Djuma : Wachezaji hawa wanahitaji mtaalamu wa Saikolojia Kocha msaidizi wa Timu ya Simba Mburundi Masoud Djuma amesema kuwa wachezaji ambao wanakosa nafasi katika...

Bao la Ndemla laweka rekodi hii CAF

Bao la Ndemla laweka rekodi hii CAF Bao la Kiungo wa Simba Said Hamis Ndemla alilolifunga Juzi Jumapili Simba ikicheza dhidi ya Gendarmerie ya Nchini...

Yanga na Donald Ngoma Kimeeleweka,Ishu kamili imekaa hivi

Yanga na Donald Ngoma Kimeeleweka,Ishu kamili imekaa hivi Siku chache baada ya Uongozi wa Yanga kudaiwa kuwa katika mipango ya Kuvunja Mkataba na Mchezaji Donald...

Hii Hapa Video Mpya | Davido – Flora My Flower

Video Mpya | Davido - Flora My Flower Msanii kutoka Nchini Nigeria Davido anakuletea Video mpya Kabisa Inaitwa Flora My Flower, Hii Hapa Itazame hapo...
video

New VIDEO: Rick Ross ft. T-Pain, Kodak Black – Florida Boy

New VIDEO: Rick Ross ft. T-Pain, Kodak Black – Florida Boy   Rick Ross, T-Pain and Kodak Black previously linked up for a cross-generational ode to the Sunshine State, the...

Habari Mpya Simba leo February 13, 2018

Habari Mpya Simba leo February 13, 2018 Klabu ya Simba inatarajia Kuondoka leo kuelekea Mkoani Shinyanga kuwakabili Mwadui Fc huku wakienda kwa tahadhari kubwa kutokana...

Habari katika Magazeti ya Michezo leo 13 February 2018

Habari katika Magazeti ya Michezo leo 13 February 2018                 credit : Millard Ayo

Matokeo ya Leo VPL na Msimamo Ulivyo mpaka sasa

Matokeo ya Leo VPL na Msimamo Ulivyo mpaka sasa Msimamo ulivyo mpaka sasa

Kocha wa St Louis apagawa na Uwezo wa Mchezaji huyu wa Simba

Kocha wa St Louis apagawa na Uwezo wa Mchezaji huyu wa Simba MSAFARA wa kikosi cha St. Louis kutoka Shelisheli ulishuhudia pambano la Simba na...

Kocha wa St.Louis ataja mchezaji wa Yanga aliyekuwa hatari zaidi kwao

Kocha wa St.Louis ataja mchezaji wa Yanga aliyekuwa hatari zaidi kwao Kocha wa timu ya St. Louis Michel Reneeud wapinzani wa Yanga Kimataifa kwenye michuano...

Lwandamina azungumzia Penati za Chirwa na Msimamo wake

Kama unakumbuka, juzi Jumamosi mshambuliaji wa Yanga, Mzambia, Obrey Chirwa, alikosa penalti kwa mara nyingine katika mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika...

Magazeti ya Michezo leo Jumatatu February 12, 2018

  Magazeti ya Michezo leo Jumatatu February 12, 2018                 credit: Millard Ayo  

Post ya Haji Manara baada ya Ushindi wa 4G dhidi ya Wadjibout

Post ya Haji Manara baada ya Ushindi wa 4G dhidi ya Wadjibout Mara baada ya Ushindi wa Simba Sc leo Simba ikiamua Kuutumia Mtandao wenye...