EURO 2016 UFARANSA :MATOKEO KATI YA WALES NA SLOVAKIA YAKO HAPA

Euro 2016 nchini Ufaransa imeendelea leo baada ya jana Uzinduzi kufanyika Rasmi katika mechi ya mapema imeshuhudia timu ya Wales ikiwa chini ya BALE...

NUH MZIWANDA AMSIFIA HILI MPENZI WAKE MPYA, JE NI KWELI NUH KACHORA TATOO...

Nuh Mziwanda anayetamba na wimbo wake wa JIKE SHUPA amemsifia mpenzi wake mpya kwa kusema kuwa ni mnyamwezi sana,  ni mwanamke muelewa yani hamwingilii...

MSIMAMO WA MAKUNDI YA COPA AMERICA MPAKA SASA

Huu ndiyo msimamo wa kila kundi COPA AMERICA

MATOKEO COPA AMERICA NA NBA YAKO HAPA

TIMU ya taifa ya Argentina jana imeshinda kwa jumla ya magoli matano kwa bila huku Lionel Messi akifunga magoli matatu, Sergio AGUERO goli moja...

BASI LA MWENDOKASI LAGONGA NA KUUA MLEMAVU

Mlemavu wa viungo amegongwa na basi la mwendokasi na kufa papo hapo usiku huu, eneo la Kariakoo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Lucas Mkondya...

GOLI ALILOFUNGA DIMITRI PAYET NA KUIPA USHINDI UFARANSA HILI HAPA

Wakati Wafaransa wakijua match itaisha kwa Sare kijana Dimitri Payet aliwainua wenyeji hao kwenye  viti kwa shuti kali  [youtube https://www.youtube.com/watch?v=GN7Lult1J2Y&w=400&h=400]

NUH MZIWANDA – JIKE SHUPA (Official Video) feat ALI KIBA

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=7m-JZUJSyjQ]

ALICHOKIJIBU BILLNASS KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA LINNAH

ALICHOKIJIBU BILLNASS KUHUSU KAMA WANAMAHUSIANO NA LINNAH AMA HAKUNA Billnass nyota anayetamba na Chafu Pozi amekuwa akihusishwa sana kuwa na mahusiano na mwanadada Linah ,...

MATOKEO EURO 2016 : UFARANSA VS ROMANIA

Timu ya soka ya UFARANSA imeanza vizuri michuano ya EURO 2016 Baada ya kushinda bao 2 kwa 1  Ufaransa walikuwa wa kwanza kufunga goli...

VIKOSI VINAVYOANZA KATI YA UFARANSA NA ROMANIA VIKO HAPA

  Kikosi Cha Ufaransa kinachoanza leo dhidi ya Romania XI to play : Lloris, Sagna, Koscielny, Rami, Evra, Kanté, Matuidi, Pogba, Griezmann, Payet, Giroud...

CHIN BEES ATAJA NYIMBO TATU ALIZOZIANDIKA UPO WIMBO WA VANESSA MDEE NA MBILI ZA...

Msanii Chin Bees aliyekuwa Label ya The Industry iliyochini ya Navy Kenzo kabla ya kuondolewa na maboss wake Aika Na Nareal amefunguka nyimbo ambazo...

MASHABIKI WAMJIA JUU YOUNG DEE, NI BAADA YA ISSUE YA MADAWA YA KULEVYA.SOMA COMMENTS...

Mashabiki wa Rapper Young Dee wameemjia juu baada ya kuonekana kwenye video akionekana kama analazimishwa na watu fulani kuwekwa kwenye bajaji huku baadhi ya...

Usher Ft. Young Thug – No Limit.mp3

Kutana na Wimbo Mpya wa Usher RayMond akiwa na Young Thug unaitwa No Limit  No Limit Usher Featuring Young Thug Produced By Christopher Perry & Brandon "Bam" Hodges NO LIMIT LYRICS Make you say...

MATOKEO COPA AMERICA HAYA HAPA

Baada ya matokeo haya sasa Uruguay Imeyaaga Mashindano haya ya Copa America

GIGY MONEY AWEKA VIDEO AKIKATA MAUNO IKO HAPA

Kupitia mtandao wake wa Instagram Gigy alipost video hii hapa chini akikata mauno . Hii hapa chini [youtube https://www.youtube.com/watch?v=ic__Yg8K6bA]

VIDEO:YOUNG DEE BAADA YA KUZIDIWA NA MADAWA YA KULEVYA

Hii ndiyo ile video inayomuonyesha Young Dee akilazimishwa kupelekwa Hospitali baada ya kuzidiwa na madawa ya kulevya kulingana na chanzo chetu cha Habari. [youtube https://www.youtube.com/watch?v=V9piB2asOuo]