UKWELI KUHUSU THOMAS ULIMWENGU KUJIUNGA YANGA,MENEJA WAKE ASEMA HAYA..

Baada ya story kadhaa kuzagaa kuwa Thomas Ulimwengu yuko njiani kusaini Yanga, Meneja wake Jamali Kasongo amekuja na Kusema haya.. Kasongo amesema  Thomas Ulimwengu hawezi...

YANGA YATOA TAMKO KUHUSU KOCHA MKUU WAO WA SASA, NI PLUIJM AU LWANDAMINA?

Kumekuwa taarifa nyingi za Kukanganya watu kuhusu hasa yupi ni kocha wa Yanga kwasasa bila kuwa na majibu yakueleweka. Akiongea kupitia Kiss Fm Katibu mkuu...

MATOKEO AMERIKA KUSINI: BRAZIL,ARGENTINA,CHILE YAKO HAPA,FAHAMU WAFUNGAJI

Haya ni Matokeo ya Mechi zilizochezwa alfajiri ya tarehe 16.11.2016 Amerika Ya Kusini Ecuardo 3 - 0 Venezuela ( 51' Mina, 83' Bolaus, 86' Valencia) Argentina...

MATOKEO : ENGLAND VS SPAIN, ITALY VS GERMANY NA FRANCE VS IVORY COAST NA...

Haya hapa Matokeo ya mechi  kubwa za kirafiki za Kirafiki zilizochezwa jana England  2 - 2 Spain (9'Lallana, 48' Vardy, 75'Aspas, 90' Isco) Italy 0 -...

AMKA NA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO 16.11.2016 (MICHEZO,UDAKU NA HABARI NYINGINE)

AMKA NA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO 16.11.2016 (MICHEZO,UDAKU NA HABARI NYINGINE) credit : Millard Ayo

Hizi hapa sababu Kuu zilizomfanya Pascal Wawa kuachana na Azam Fc,na kurejea El Merreikh

Yule beki kisiki wa timu ya Azam Fc kwasasa ametimkia zake timu yake ya Zamani ya El Merreikh ya Sudan, Msemaji wa timu ya...

MATOKEO: KAGERA SUGAR VS YANGA UNDER 20 15.11.2016

Haya ni Matokeo ya moja kwa moja kati ya Yanga na Kagera Sugar mechi inayochezwa katika Dimba la Kaitaba Bukoba HALF TIME Kagera Sugar 0 -...

ANGALIA MECHI LIVE : KAGERA SUGAR VS YANGA UNDER 20 (HATA KWA SIMU UTAANGALIA)

Karibu KwataUnit.com. Ili Kuangalia Mechi Live kati ya Kagera Sugar vs Yanga Under 20 Bonyeza Hapo Chini kisha Kabonyeze palipoandikwa Azam Two. Mtumiaji wa Simu...

AMKA NA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO 15.11.2016 (MICHEZO,UDAKU NA HABARI NYINGINE)

AMKA NA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO 15.11.2016 (MICHEZO,UDAKU NA HABARI NYINGINE) credit: Millard Ayo

Ukweli kuhusu anayeongea maneno mengi zaidi kati ya mwanamke na mwanaume,Hii ndiyo idadi ya...

Kuongea imekuwa ni jambo la kawaida na la lazima ili kufanikisha mawasiliano baina ya watu, Ila ndugu msomaji wa KwataUnit.com umewahi kujiuliza kati ya...

Andres Iniesta ndiye mchezaji pekee Duniani ambaye amewahi kufanya mambo haya 3 kwenye historia...

Andres Iniesta Fundi huyu wa Mpira ndiye mchezaji pekee Duniani ambaye amewahi kuwa mchezaji Bora kwenye mechi za Fainali katika Michuano Hii Mitatu mikubwa...

ACCOUNT 10 ZENYE FOLLOWERS WENGI ZAIDI INSTAGRAM,MWANASOKA NI MMOJA TU,LIST YOTE HII HAPA..

Instagram ni moja kati ya mitandao ya Kijamii ambayo siku za karibuni Imekuwa ni moja kati ya mitandao pendwa. Imekuwa na watumiaji wengi kote...

KUFUZU KOMBE LA DUNIA:MATOKEO MISRI VS GHANA NA MECHI ZOTE 10 AFRIKA NA ULAYA

HAYA NI MATOKEO YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA MWAKA 2018 URUSI, MECHI 10 AFRIKA NA ULAYA

AMKA NA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO 14.11.2016 (MICHEZO,UDAKU NA HABARI NYINGINE)

AMKA NA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO 14.11.2016 (MICHEZO,UDAKU NA HABARI NYINGINE) credit : Millard Ayo

MATOKEO: ZIMBABWE VS TANZANIA (TAIFA STARS) 13.11.2016

Haya Ni matokeo ya moja kwa moja kati ya Zimbabwe vs Tanzania (Mechi ya Kirafiki) HALF TIME Zimbabwe 1 - 0 Tanzania  (9') FULL TIME Zimbabwe 3 -...

ANGALIA MECHI LIVE: ZIMBABWE VS TAIFA STARS ( HATA KWA SIMU UTAANGALIA)

Kama Ilivyokawaida ya KWATAUNIT.COM Kukupa Kile Unachokihitaji Leo Tunakuletea Mechi Live (MUBASHARA) kati ya Zimbabwe vs Tanzania. MAELEKEZO YA MSINGI Utabonyeza Palipoandikwa Bonyeza hapa, Na Ukishaingia...

KIKOSI CHA TAIFA STARS KINACHOANZA LEO DHIDI YA ZIMBABWE HIKI HAPA

KIKOSI CHA TAIFA STARS KINACHOANZA LEO DHIDI YA ZIMBABWE HIKI HAPA. Manula Mohamed Michael Aidan Erasto Nyoni Andrew Vicent Himid Mao Kichuya Mzamiru Samatta Maguli Msuva Kimetolewa na TFF

PICHA 5: MUONEKANO WA UWANJA AMBAO TAIFA STARS WATACHEZA LEO NA ZIMBABWE

Taifa Stars leo kuanzia mida ya saa 10 jioni watashuka dimbani Kumenyana na Zimbabwe katika mechi ya kirafiki, Hizi ni picha za Muonekano wa...